Skip to main content

πŸ”₯ SMARTGIN STREET DANCE 2026πŸ”₯
Je, una kipaji cha kucheza muziki? Wewe au kikundi chako mko tayari kutikisa jukwaa?
Huu ndio wakati wenu wa kung’ara!

SmartGin inakuletea mashindano makubwa ya kucheza muziki kwa mtu mmoja au kikundi, ambapo vipaji halisi vitapambana live jukwaani kuwania zawadi NONO zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 30! πŸ’°

πŸ’₯ Onyesha ubunifu wako
πŸ’₯ Tikisa jukwaa
πŸ’₯ Chukua ushindi na heshima

Usikose nafasi ya kuandika historia yako katika dansi!
πŸ‘‰ Jiunge sasa – SmartGin, ladha ya ushindi!